Home Habari za michezo KWA KIPIGO HIKI CHA SIMBA SASA IMESHAKUWA HATARI

KWA KIPIGO HIKI CHA SIMBA SASA IMESHAKUWA HATARI

Habari za Simba

Leo asubuhi Kikosi cha Simba SC kimecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Ngome FC na kuibuka na ushindi wa magoli 6-0.

Mabao ya Simba katika mchezo wa leo yamefungwa na Shomari Kapombe, Aubin Kramo, Willy Onana, Chilunda na Jean Baleke aliefunga mabao 2.

Simba ipo kwenye maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa hatua ya mtoano Ligi ya Mabingwa dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.

SOMA NA HII  SI GOLINI TU....HIVI NDIVYO 'MADEMU' WANAVYOMPAPATIIA MAYELE BONGO...NTIBAZONKIZA AFUATIA...