C.E.O wa Manara TV, Haji Manara amezuru mji wa Makka kufanya ibada ya Umrah kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Umrah.
Haji Manara ameweka picha katika mtandao wake wa Instagram kisha ameandika:
“Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah Baada ya ziara ndefu kote ulimwenguni, hatimae nimefika katika nchi tukufu ya Hijaaz Na nishatia nia ( kuhirimia ) kule Twaaif ( Al Sayl ) tayari kwa Ibada ya Umra hapa Makkatal Mukarram ( Makka ) Dua zenu ili niweze kukamilisha ibada hii muhimu na kubwa na Insha’Allah ntawaombea na nyinyi ndugu zangu”.