Home Habari za michezo YANGA YAPAA AFRIKA YASHIKA NAMBA MOJA

YANGA YAPAA AFRIKA YASHIKA NAMBA MOJA

Habari za Yanga

Klabu ya Yanga imeibuka kinara kwa kufuatiliwa zaidi barani Afrika kwenye mtandao wa Instagram kwa upande wa timu za mpira wa miguu kwa mwezi Agosti.

1. Yanga SC milioni 10.1 2. Simba SC milioni 9.36 3. Al Ahly milioni 8.55 4. Raja AC milioni 8.16 5. Wydad AC milioni 3.35

Hii ni orodha ya vilabu vitano ambavyo ni maarufu zaidi na vimepata mwingiliano (interaction) mkubwa kwenye mtandao wa Instagram barani Afrika kwa mwezi Agosti mwaka huu 2023.Habari za yanga

SOMA NA HII  SIMBA YAIGOMEA NAMUNGO, KAZI INAENDELEA