Home Uncategorized SIMBA MAMBO MAZITO,YAWEKA REKODI YA DAKIKA 45

SIMBA MAMBO MAZITO,YAWEKA REKODI YA DAKIKA 45

 

SIMBA ndani ya dakika 45 kwa mechi za leo kwa mechi ambazozimechezwa leo kwa kuwa imekuwa ya kwanza ambayo imeruhusu bao la mapema dakika ya 35 kwa kufungwa na Fuly Zully Maganga.


Mpaka muda wa mapumziko kwenye ligi leo ambapo kuna mechi tatu zinaendelea ni Simba ilifungwa.

Timu nyingine ambazo zipo uwanjani na zilimaliza dakika 45 bila kufungwa ni vinara Azam FC ambao walikwenda mapumziko bila kufungana na Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri.

Pia Dodoma Jiji ikiwa Uwanja wa Jamhuri Dodoma ilikwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ikiwa imetoshana nguvu na Tanzania Prisons.
SOMA NA HII  SPIDI YA NAMUNGO INASTAHILI PONGEZI LAKINI KAMA KUNA MCHANGANYO WA SIASA ANGUKO LINAKUJA