KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Oktoba 26 dhidi ya Ruvu Shooting mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Uhuru.
Mchezo huu unatarajiwa kuanza saa 10:00 jioni na kwa mara ya kwanza kwa msimu wa 2020/21 kipa namba mbili Beno Kakolanya ameanza kikosi cha kwanza.
Pia Ibrahim Ajibu naye ambaye mechi zilizopita alikuwa akianzia benchi leo ameanza jumlajumla kikosi cha kwanza.