Habari za michezo

VIKOSI VYA LEO SIMBA vs IHEFU HIVI HAPA, HUKU REKODI IKIMBEBA MNYAMA

Staff Desk October 28, 2023 6:44 pm

Kikosi cha Simba SC leo Oktoba 28 watakuwa na kibarua mbele ya Mbogo Maji kutoka kule Mbeya Kikosi cha hefu mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Simba wanahitaji alama tatu ili kuifukuza Yanga inayoongoza msimamo wa Ligi ikiwa na alama 18 lakini wakiwa wamecheza michezo mingi zaidi kuliko Simba waliocheza mechi tano.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza mchezo wa leo;

GAMONDI AGOMA KUSHUKA KUTOKA KILELENI ATOA KAULI HII MANARA:- SIMBA WAMEIHESHIMISHA NCHI…ZAMANI HAIKUWA HIVI KABISA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply