Home Habari za michezo GAMONDI AFUNGUKA HAYA BAADA YA KUWAKANDA SIMBA

GAMONDI AFUNGUKA HAYA BAADA YA KUWAKANDA SIMBA

Habari za Michezo

Ni siku ya furaha sana katika kazi yangu ya ukocha, tumepata ushindi dhidi ya tibu bora [Simba].

Wachezaji wangu wamecheza vizuri sana kwa bidii, kujituma na nidhamu, naamini mashabiki wetu wamefurahi.

Tulitangulia kufunga goli kipindi cha kwanza lakini tulishindwa kulilinda, wakati wa mapumziko niongea na wachezaji ni lazima tucheze vizuri kwa namna ambavyo tumepanga kucheza. Tutulie na mpira, tumiliki mpira na tucheze kwa style yetu.

SOMA NA HII  KOCHA HUYU ALIYEMNYOOSHA MBELGIJI WA YANGA ANAWINDWA ATUE JANGWANI