Home Habari za michezo SIMBA QUEENS WASHUSHA WINGA MPYA KUTOKA CONGO Habari za michezoMichezoMichezo BongoMichezo Soka la BongonewsSimba SCUncategorized SIMBA QUEENS WASHUSHA WINGA MPYA KUTOKA CONGO By Staff Desk - November 15, 2023 0 Kikosi cha Simba Queens kimefanikiwa kupata saini ya winga Diakiese Isabelle kutoka klabu ya Feminin Espoir kwa mkataba wa miaka miwili. Diakiese anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Simba Queens kuelekea kuanza msimu mpya wa mashindano 2023/24 ambao unatarajiwa kuanza Desemba 15. Tayari winga hiyo amejiunga na wenzake kambini na anaendelea na mazoezi chini ya kocha Mussa Hassan Mgosi.