Home Habari za michezo ACHANA NA ISHU YA BONGO UNAAMBIWA SIMBA IMEFUNIKA AFRIKA NZIMA YAWEKA REKODI...

ACHANA NA ISHU YA BONGO UNAAMBIWA SIMBA IMEFUNIKA AFRIKA NZIMA YAWEKA REKODI HII

Mashabiki Simba

Timu ya Simba SC imeshika namba 1 Afrika miongoni mwa timu zenye ushawishi mkubwa katika mtandao wa Instagram kwa mwezi Oktoba.

Kwenye orodha hiyo 5 bora imeshikwa na Simba Sc, Wydad Casablanca ya Morocco, Al Ahly ya Misri, Yanga SC ya Tanzania, Raja Casablanca ya Morocco.

Chati nima imesimama hivi;

1. Simba SC 9.59M

2. Wydad Casablanca 7.80M

3. Al Ahly SC 6.89M

4. Yanga SC 6.44M

5. Raja Casablanca 5.20M

SOMA NA HII  KWA HAYA YANAYOENDELEA AZAM FC MNAPIGA HESABU VEMA LAKINI?

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here