Home Habari za michezo BOCCO NA SIMBA SASA NI MAJI YA JIONI WAKATI WOWOTE TUTASIKIA TANGAZO...

BOCCO NA SIMBA SASA NI MAJI YA JIONI WAKATI WOWOTE TUTASIKIA TANGAZO HILI

Habari za Simba SC

Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo klabu yake haifikirii kumpa kandarasi zaidi.

John Bocco hayupo kwenye mipango ya Klabu ya Simba baada ya kumalizika kwa msimu huu, na klabu ya Simba kuendelea msimu unaofuata tayari klabu imempa taarifa.

Aidha pia Simba watazungumza na John Bocco ili kumtafutia utendaji wa kazi kwenye Menejiment ya klabu ya Simba, Bocco anawapa kipaumbele kikubwa sana Simba kwenye upatikanaji wa kazi mbalimbali za Wekundu wa Msimbazi.

SOMA NA HII  ZRANE YUPO TAYARI KURITHI MIKOBA YA ROBERTINHO SIMBA