Home Habari za michezo COASTAL UNION WAMTANGAZA MRITHI WA ZAHERA

COASTAL UNION WAMTANGAZA MRITHI WA ZAHERA

Klabu ya Coastal Union inayoshiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara leo imemtangaza kocha wa zamani wa klabu ya sofapaka raia wa Kenya David Ouma kuwa kocha wake mpya akichukua nafasi ya Mwinyi Zahera aliyehamishiwa kwenye majukumu mengine.

Klabu ya Coastal Union inayoshiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara leo imemtangaza kocha wa zamani wa klabu ya sofapaka raia wa Kenya David Ouma kuwa kocha wake mpya akichukua nafasi ya Mwinyi Zahera aliyehamishiwa kwenye majukumu mengine. Ouma amewahi kufundisha timu ya vijana ya Ajax ya Uholanzi aliwahi kufundisha timu ya Taifa ya Kenya akihudumu kama kocha msaidizi iliyokuwa ikinolewa na Bobby Williams. Ouma ameifundisha pia Rangers ya nchini Kenya.

SOMA NA HII  LIGI KUU SIO KITOTO TENA SIMBA,YANGA JUMAMOSI HII