Home Habari za michezo HUENDA YANGA IKAWA NDIO TIMU YA KWANZA KWENYE REKODI HII BONGO

HUENDA YANGA IKAWA NDIO TIMU YA KWANZA KWENYE REKODI HII BONGO

Habari za Yanga

Kwa muda mrefu mashindano ya Afrika [CAF Champions League na CAF Confederation Cup] yamekuwa yakitawaliwa na timu za Kaskazini mwa Afrika.

Yanga kukutana na timu mbili kwenye hatua ya makundi kutoka ukanda wa Kaskazini mwa Afrika [Al Ahly na CR Belouizdad] inawapa fursa ya kucheza na timu zenye uzoefu na endapo watatoka kwenye kundi hilo watakuwa wamepata mechi zenye ushindani mkubwa.

Kwa ubora wa kikosi cha Yanga, huenda wakavuka hatua ya makundi na kwenda hatua inayofuata [Robo Fainali] na safari yao itaendelea hadi hatua ambayo hakuna timu ya Tanzania iliyowahi kufika kwenye mashindano haya ya Ligi ya mabingwa Afrika.

SOMA NA HII  BOCCO ATAMBA NYUMBANI MATOKEO MAZURI UHAKIKA