Home Habari za michezo LEO NDIO LEO KAMA HAUNA TIKETI USIONEKANE KWA MKAPA POLISI WATOA ONYO...

LEO NDIO LEO KAMA HAUNA TIKETI USIONEKANE KWA MKAPA POLISI WATOA ONYO LA KIBABE

Uwanja wa Mkapa

Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema asiyekuwa na tiketi hataruhusiwa kusogelea uwanja au maeneo ya milango ya kuingia katika mchezo wa Simba SC dhidi ya Yanga SC utakaopigwa kesho Jumapili Novemba 5, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

SOMA NA HII  BAADA YA ABDI BANDA...AMRI KIEMBA NAYE KAFUNGUKA HAYA KUHUSU SIMBA WANAPOCHEZA KWA MKAPA..