Home Habari za michezo CCM NAO WAJA NA JAMBO LAO DABI YA KARIAKOO…… UNAAMBIWA GOLI MOJA...

CCM NAO WAJA NA JAMBO LAO DABI YA KARIAKOO…… UNAAMBIWA GOLI MOJA NG’OMBE MMOJA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Itikadi na Uenezi, Paul Makonda ametangaza ahadi ya kununua magoli yatakayopatikana kwenye Derby ya Kariakoo kati ya Simba SC na Yanga SC, kwa Ng’ombe mmoja kwa goli litakalopatikana.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Itikadi na Uenezi, Paul Makonda ametangaza ahadi ya kununua magoli yatakayopatikana kwenye Derby ya Kariakoo kati ya Simba SC na Yanga SC, kwa Ng’ombe mmoja kwa goli litakalopatikana. Makonda ametoa ahadi hiyo kwenye usiku wa hafla ya tuzo za WISAC zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Novemba 04 jijini Dar es Salaam.

SOMA NA HII  ALLY KAMWE ATAMBA , MUSONDA AZIDI KUNOGA