Home Uncategorized KMC WAMALIZANA NA MAJEMBE MAWILI YA CONGO

KMC WAMALIZANA NA MAJEMBE MAWILI YA CONGO

BESALA Bokungu mlinzi wa kati kutoka timu ya Groupe Bazano ya Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo amejiunga na KMC kwa kandarasi ya mwaka mmoja.

Bukungu naye tayari amejiunga na kikosi cha KMC ambacho kipo nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya Kagame inayotarajiwa kuanza Julai 7-21.

Bukungu anaungana na kiungo mkabaji Melly Sivirwa ambaye naye ni raia wa Congo  ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili akitokea Vital’ O ya Burundi.

SOMA NA HII  MZEE MAGALI ALIVYOMWEKEA UPUPU MWALIMU WAKE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here