Home Habari za michezo HATIMAYE WAPINZANI WA SIMBA…KLABU BINGWA…WAANZA SAFARI KUTUA DAR

HATIMAYE WAPINZANI WA SIMBA…KLABU BINGWA…WAANZA SAFARI KUTUA DAR

Habari za Simba SC

Mabingwa wa Afrika, Wydad Club Athletic, maarufu kama Wydad Casablanca wakiwa Uwanja wa Ndege wa Mohamed V Jijini

Casablanca usiku wa Jana wakati wanaanza safari ya kuja Dar es Salaam kumenyana na wenyeji, Simba SC katika Robo Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi Uwanja wa Benjamín Мкара..

SOMA NA HII  JEAN BALEKE ALAMBA SHAVU HILI SIMBA