Home Habari za michezo REKODI HIZI ZA ROBERTINHO, GAMONDI HANA

REKODI HIZI ZA ROBERTINHO, GAMONDI HANA

Habari za Simba

Kocha Mbrazil wa Simba, Robertinho hajapoteza mchezo wowote msimu huu akiwa na Simba SC, Ligi kuu ameshinda michezo yote sita.

Katika Michuano ya AFL ametoa sare michezo yote miwili dhidi ya Kigogo wa Soka la Afrika Al Ahly, ngao ya jamii hajapoteza mchezo wowote kati ya michezo miwili aliyocheza mwanzoni mwa msimu huu.

Ligi ya Mabingwa Afrika amecheza michezo miwili hajapoteza akitoa sare mbili dhidi ya Power Dynamos na kuingia hatua ya Makundi

Wewe Kocha wenu rekodi hii anayo?

SOMA NA HII  AHMED ALLY ANAJUA KUWA YANGA IMEBADILIKA ILA MSIMAMO WA SIMBA NI HUU