Home Habari za michezo UWEZO WA PHIRI KUELEKEA DABI YA KARIAKOO

UWEZO WA PHIRI KUELEKEA DABI YA KARIAKOO

Habari za Simba

Kuna mjadala kuhusu matumizi ya Moses Phiri ndani ya kikosi cha Simba SC na unazidi kupata nguvu kutokana na uwezo wake wa kumalizia anapoipata nafasi mbele ya lango kulingana na vile anavyoaminiwa.

Na Wala hatumii nguvu kuprove ajenda yake ila anafanya kazi yake ya asili tu kucheka na vyavu na hakosei katika hilo.

Uwezo wake unaendelea kumsemea na hiyo ndio lugha ya mwanasoka always.Pengine Robertinho anatakiwa kutembea na jina lake kichwani kila anapoikaribia Novemba 5.

SOMA NA HII  KOCHA MPYA SIMBA ATOA MAAGIZO HAYA KWA MASTAA KABLA HAJATUA NCHINI