Home Habari za michezo UNAAMBIWA HUYO YAO HAPO JANGWANI NI ZAIDI YA JESHI

UNAAMBIWA HUYO YAO HAPO JANGWANI NI ZAIDI YA JESHI

Habari za Yanga

Jeshi la Wananchi wa Jangwani Yao kouassi Attohoula, Mlinzi wa kulia wa Klabu ya Yanga.

Yao anaweza kulinda upande mmoja wa jangwa peke yake. Atakufanya ushike kichwa kwa masikitiko au kwa mshangao.

Amejaa tele kule pembeni…!Pumzi, kasi, maarifa, maji…Top assist provider kwenye NBC mpaka sasa.

Yao ni miongoni mwa sajili za Yanga zilizoanza na moto wa hali ya juu ndani ya kikosi hicho.

SOMA NA HII  HAJI MANARA WA SIMBA ALA DILI AZAM MEDIA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here