Home Habari za michezo WALIOMSHAMBULIA SHABIKI WA YANGA KUADHIBIWA

WALIOMSHAMBULIA SHABIKI WA YANGA KUADHIBIWA

Bodi ya Ligi Kuu pia imeelezwa kusikitishwa na kitendo cha ukatili na vurugu kilichofanywa na mashabiki waliokuwa wamevaa jezi ya Simba na bluu kumshambukia shabiki wa Yanga katika mechi ya Simba vs Ihefu Uwanja wa Mkapa.

Bodi ya Ligi Kuu pia imeelezwa kusikitishwa na kitendo cha ukatili na vurugu kilichofanywa na mashabiki waliokuwa wamevaa jezi ya Simba na bluu kumshambukia shabiki wa Yanga katika mechi ya Simba vs Ihefu Uwanja wa Mkapa. “Bodi kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama inakamilisha mchakato wa kuwatambua mashabiki wote waliohusika na tukio hilo kabla ya kuwachukulia hatua kali,” imeeleza taarifa hiyo.

SOMA NA HII  KOCHA SIMBA AMPIGA KO NABI...BALEKE AMCHAKAZA MAYELE VIBAYA MNO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here