Home Habari za michezo USHIRIKINA WAIPONZA TIMU YA MASHUJAA FC, WAPIGWA FAINI HII

USHIRIKINA WAIPONZA TIMU YA MASHUJAA FC, WAPIGWA FAINI HII

Klabu ya Mashujaa imekumbana na adhabu ya kutozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina baada ya mmoja wa viongozi kuonekana akimwaga kimiminika nje ya geti la kuingilia Uwanja wa Mkwakwani Oktoba 25 wakati wakienda kufanya mazoezi.

Klabu ya Mashujaa imekumbana na adhabu ya kuyozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina baada ya mmoja wa viongozi kuonekana akimwaga kimiminika nje ya geti la kuingilia Uwanja wa Mkwakwani Oktoba 25 wakati wakienda kufanya mazoezi. Mashujaa katika adhabu nyingine imetozwa faini Sh1 milioni kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa kiwanjani baada ya Coastal kupata penalti dakika ya 88.

SOMA NA HII  IWE JUA IWE MVUA SIMBA AJA NA KAULI NGUMU DHIDI YA POWER DYNAMO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here