Home Habari za michezo SINGIDA FG WAMUANDHIBU FEI TOTO…. SIO POA

SINGIDA FG WAMUANDHIBU FEI TOTO…. SIO POA

0

Klabu ya Singida Fontaine Gate imewaadhibu vinara wa Ligi Kuu Zanzibar, JKU FC ya Zanzibar jumla ya magoli 4-1 katika mchezo wa kombe la Mapinduzi uliopigwa katika dimba la Amaan Complex, Zanzibar.

JKU 1-4 Singida FG

⚽ Saleh 61’p

⚽⚽ Elvis Rupia 17’, 47’

⚽ Medie Kagere 80’

⚽ Francis Kazadi 86’

Ikumbukwe kuwa, JKU ndiyo timu iliyomlea Feisal Salum Abdallah tangu akiwa mtoto maarufu kama Fei Toto kabla ya kutua Yanga na kuwa staa kishaa kutimkia Azam FC.