Home Habari za michezo ALLY KAMWE AINGIA UPEPO MBELE YA MADEAMA BAADA YA KUSHINDWA KUTAMBA DHIDI...

ALLY KAMWE AINGIA UPEPO MBELE YA MADEAMA BAADA YA KUSHINDWA KUTAMBA DHIDI YA AL AHLY

Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe

Klabu ya Young Africans imesafiri kuelekea nchini Ghana alfajiri ya leo kwa ajili ya mchezo wa tatu wa hatua ya makundi ya Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Medeama.

Afisa habari wa klabu hiyo Ali Kamwe amesema wanatarajia kukutana na upinzani mgumu katika mchezo huo na hautakuwa mchezo rahisi.

Ali Kamwe amewaomba wadau na mashabiki wa soka nchini kuiombea timu yao na panapo majaaliwa watarejea na ushindi nchini.

Yanga ipo mkiani mwa kundi D ikiwa na alama moja pekee katika michezo miwili iliyocheza.

SOMA NA HII  EDO AWAITA MASHABIKI WA SOKA, AFUNGUKA MAZITO KUHUSU YAO WA YANGA