Home Habari za michezo GAMONDI AFANYA MAAMUZI MAGUMU MASTAA HAWA YANGA KUPINGWA PANGA…..UNAAMBIWA SKUDU NAE HANA...

GAMONDI AFANYA MAAMUZI MAGUMU MASTAA HAWA YANGA KUPINGWA PANGA…..UNAAMBIWA SKUDU NAE HANA BAHATI

Habari za Yanga SC

Taarifa kutoka ndani ya Klabu Yanga zinadai kuwa Kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi amependekeza wachezaji wafuatao wakimataifa wapigwe panga kwa sababu hawajaingia kwenye mfumo wake.

◉ Hafiz Konkoni

◉ Skudu Makudubela

◉ Jesus Moloko

◉ Gift Fred

Kupitia nafasi hizo nne zitakazoachwa wazi anataka usajili wa position hizi:

◉ Centre-forward

◉ Left winger

◉ Right Winger

◉ Cenre-midfielder

Wachezaji (3) wa kimataifa watasajiliwa katika dirisha dogo, mchezaji wa nne atasajiliwa dirisha kubwa. Inatajwa Moloko mwenye miezi (6) kwenye mkataba wake ataachwa dirislha kubwa.

SOMA NA HII  KOCHA ARSENAL AWASIFU WACHEZAJI WAKE ASEMA HAWAJAMUANGUSHA