Home Habari za michezo KOCHA WYDAD AWAANGALIA MASHABIKI WAO KISHA AKAWAPA HABARI HII…. HIKI NDICHO ITAKACHOAMBULIA...

KOCHA WYDAD AWAANGALIA MASHABIKI WAO KISHA AKAWAPA HABARI HII…. HIKI NDICHO ITAKACHOAMBULIA SIMBA HUKO MARRAKESH

Kocha Mkuu wa Wydad Casablanca, Adil Ramzi amesema kwa sasa huruma pekee watakayo ipata Kwa mashabiki wao ni kushinda Kila mchezo uliopo mbele yao.

Wydad Athletic Club imepata ushindi wa kwanza jana usiku baada ya kuipa kichapo MC Oujda mabao 3-1.

Wababe Hawa wa Soka la Morocco walicheza michezo minne mfululizo na yote wakachezea kichapo.

Adil Ramzi amesema kitu pekee ambacho mashabiki wa Wydad Casablanca wanataka ni ushindi na hivi sasa Bado Wana hasra Kali juu yao hivyo Simba ajiandae kula kichapo katika mchezo.

Mwanasimba nini maoni yako kuhusu Ujumbe wa kocha Adil Ramzi?

SOMA NA HII  KISA USHIRIKI WA SIMBA LIGI YA MABINGWA...ZAKAZAKAZI NA MANARA WAUMBUANA INSTAGRAM...