Home Azam FC KUMBE ISHU YA KIPRE KUTIMKIA SIMBA SC IKO HIVI….. AZAM WAFUNGUKA KILA...

KUMBE ISHU YA KIPRE KUTIMKIA SIMBA SC IKO HIVI….. AZAM WAFUNGUKA KILA KITU

Yanga SC kusajili mastaa Azam FC

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Azam, Zakaria Thabiti maarufu kama Zakazakazi amefunguka kuhusu tetesi za klabu ya Simba kumtaka winga wao, Kipre Jr ambaye kwa siku za hivi karibuni amekuwa mwiba kwelikweli kwenye lango la mpinzani.

Akiongea baada ya ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya KMC, Zaka amesema kama kweli wanamtaka wanatakiwa kuwa na vijana wadogo wenye miaka 22, yaani wachezaji 25 ndiyo sawa na Kipre JR mmoja.

Zakaria amesema hata Real Madrid ya Ligi Kuu ya Hispania wenyewe pia walimtamani Kipre Jr lakini wameshindwa kumpata.

SOMA NA HII  MCHAMBUZI AMPA USHAURI HUU ROBERTINHO LEO DHIDI YA AL AHLY