Home Habari za michezo KAZINI KWA ‘TAIFA STARS’ KUNA KAZI….WASIPOZINGATIA HAYA ITAKULA KWAO….

KAZINI KWA ‘TAIFA STARS’ KUNA KAZI….WASIPOZINGATIA HAYA ITAKULA KWAO….

Habari za Michezo leo

MUDA uliosubiriwa kwa shauku kubwa ni sasa na kila mmoja anaona namna hali halisi ilivyo nchini Ivory Coast kwenye mashindano makubwa Afrika ambayo yameanza kushika kasi taratibu.

Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars ina kazi ya kufanya kwenye mashindano hayo ambapo kikubwa ni kuona kwamba kila mmoja anapenda kuona anapata ushindi na sasa ni kazi kwenye kusaka ushindi.

Nafasi ya kupata ushindi ipo na muhimu ni kufanya kazi kwa kupata ushindi kwa kuwa kila mmoja anapenda kupata matokeo hivyo muda ni sasa kufanya kweli kwenye mashindano haya.

Ipo wazi kwamba mashabiki wanahitaji kuona timu inapata matokeo mazuri uwanjani na kwa kupambana inawezekana kwa timu kupata matokeo mazuri. Hivyo tu basi inatakiwa kuwa katika mechi zote.

Maelekezo kutoka kwa benchi la ufundi ni muhimu kufuatwa pamoja na wachezaji kuongeza nidhamu kwenye mechi ambazo watacheza.

Hii itafanya makosa kupungua kwa upande wao pamoja na adhabu ya kadi za njano zisizo za lazima kwenye kupambania kombe ndani ya uwanja wakati wa kutafuta matokeo inawezekana na muda uliopo ni sasa.

Kila mmoja na awe na kazi yake kwa kupambania matokeo mazuri kwa ajili ya kupata matokeo mazuri inawezekana kwa kuwa ni muda wa kufanya kweli kwa kila mmoja kupambania ushindi ndani ya uwanja.

Hakuna ambaye anapenda kuona timu yake inapoteza hivyo ni muda wa kujipanga na kufanya kweli kila mchezo uwanjani na muda ni sasa kufanya kweli, kila la kheri Taifa Stars.

Stars ipo kundi F na mchezo wa kwanza itakuwa dhidi ya Morocco ambao unatarajiwa kuchezwa Januari 17 inawezekana kupata ushindi kwa kuwa timu ya Taifa ya Misri yenye Mohamed Salah ilikuwa inapewa nafasi kubwa kushinda mbele ya Msumbiji.

Licha ya Misri kupata bao la mapema bado wachezaji wa Msumbiji walipambana na mwisho kuambulia sare ya kufungana mabao 2-2 kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa.

SOMA NA HII  KIMENUKA YANGA HUKOO...NABI 'ACHENJIWA' KISA SURE BOY....MWENYEWE ADAI FEI TOTO NI BORA KWAKE...