Home Habari za michezo WAKATI MIRINDIMO YA AFCON IKIZIDI KUKITA….ODDS ZA USHINDI LEO HII ZIMELALA NA...

WAKATI MIRINDIMO YA AFCON IKIZIDI KUKITA….ODDS ZA USHINDI LEO HII ZIMELALA NA TIMU HIZI..

Meridianbet

Mpendwa mteja wa Meridianbet wikendi ndiyo hiyo imewadia na maokoto yapo meridianbet pekee endapo utaweka pesa yako na kubashiri mechi zote kuanzia EPL, LALIGA, BUNDESLIGA na nyingine nyingi kumbuka kuwa turobo cash pia ipo.

Tuanze na ligi yenye kutoa magoli mengi kule Ujerumani BUNDESLIGA itatimua vumbi timu kuanzia mechi kati ya FC Cologne dhidi ya Borussia Dortmund ambaye alishinda mechi iliyopita. Mara ya mwisho kukutana Borussia aliondoka na ushindi mwembamba. 1.67 ndio ODDS waliyopewa vijana wa Edin Terzic kwa 4.50. Wewe beti yako unaiweka wapi?

Huku Bochum wao watakuwa na kazi ya kuchukua pointi tatu mbele ya VFB Stuttgart ambao msimu huu wanafanya vizuri wakiwa nafasi ya 3 hadi sasa huku mwenyeji wake yeye yupo nafasi ya 14. Kushinda mechi hii VFB wamepewa ODDS 1.91 kwa 3.62. Je mwenyeji atalipa kisasi baada ya mechi ya kwanza kubamizwa?. Tengeneza jamvi mapema hapa.

Pia SC Freiburg atamualika TSG Hoffenheim na timu hizo tofauti kati yao ni pointi 1 pekee, kwani wamefuata kwenye msimamo wa ligi hiyo mwenyeji akipewa ODDS 2.01 kwa 3.33. Beti sasa.

Ni rahisi sana kwako kutengeneza pesa ya haraka kama utacheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo ipo meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Sloti na mingine mingi. Ingia meridianbet na uanze kucheza sasa.

Saa 2:30 katika dimbva la Red Bull Arena kutakuwa na mechi ya moto, yani mechi ya viwango haswa ambapo RB Leipzig atamleta nyumbani kwake kinara wa ligi hiyo Bayer Leverkusen. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii RB kwa ODDS 2.40 kwa 2.65. Je vijana wa Alonso watakubali kupoteza mchezo huo kesho?. Na je vipi Leizpig watakuwabli kipigo cha pili kutoka kwa Leverkusen?. Bahiri na meridianbet upige maokoto.

EPL kuendelea hapo kwa michezo miwili hapo kesho ambapo mchezo wa mapema utakuwa Arsenal dhidi ya Crystal Palace majira ya saa 9:30 mchana huku nafasi ya kushinda mchezo huo akipewa The Gunners kwa ODDS 1.25 kwa 10.78. Mara ya mwisho kukutana, Arteta na vijana wake walishinda. Je mgeni kulipa kisasi kesho?. Beti sasa

Huku mechi ya pili hapo kesho ni hapo itakapofika majira ya saa 2:30 kati ya Brentford dhidi ya Nottingham Forest, huku timu hizo zikitofautiana pointi moja pekee. Nyuki kushinda mechi hiyo wamepewa ODDS 1.89 kwa 3.87, pia Ivan Toney anatarajiwa kurejea kwenye mchezo wa kesho baada ya adhabu yake ya kufungiwa miezi 8 kuisha. Nani kuondoka na ushindi?. Jisajili na ubeti hapa.

Pia LALIGA nayo inataka kukupatia pesa kwa mechi zake zitakazopigwa wikendi hii Rayo Vallecano dhidi ya UD Las Palmas ni mechi ya kibabe sana ambayo imepewa ODDS 1.88 kwa 4.31. Ikumbukwe kuwa mwenyeji alipoteza mchezo uliopita huku mgeni akishinda. Suka mkeka wako hapa.

Saa 12:15 jioni Nyambizi wa Njano, Villarreal watawakaribisha Mallorca huku timu hizi zikiwa na pointi sawa 19 baada ya kucheza michezo yao 20 hadi sasa. Mwenyeji amepoteza mchezo uliopita, na mgeni alitoa sare, huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.06 kwa 3.52. Ingia meridianbet na ubeti.

Nao Valencia watakuwa wakipepetana na Athletic Bilbao ambaye amekuwa na mwennendo mzuri kwenye ligi kwani anashikilia nafasi ya 3 kwenye msimamo hadi sasa na mwenyeji wake yupo nafasi ya 8. Mechi ya mkondo wa kwanza kukutana walitoka sare. Je nani kushinda kesho?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri hapa.

Ligi kuu ya Italia SERIE A, nayo itakimbiza vilivyo ambapo AS Roma atakipiga dhidi ya Hellas Verona ambaye yupo kwenye hali mbaya kwenye msimamo wa ligi. Lakini timu hiyo ya Rome wanatarajia kuingia uwanjani baada ya kumtimua kocha wao Jose Mourinho. Verona kushinda mechi hii amepewa ODDS 7.64 kwa 1.44. Beti sasa.

Italia kutahitimishwa na mechi kati ya wenyeji Udinese dhidi ya AC Milan ambao walitoka kutoa kichapo mchezo wao uliopita. Milan chini ya Stephano Pioli kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.94 kwa 3.92. Je nani ni nani hapo kesho?.

SOMA NA HII  BAADA YA KUCHEZEA JANA....YANGA WAVUNJA UKIMYA...ALLY KAMWE AIBUKA NA TAMKO HILI...