Home Habari za michezo KISA KIPIGO CHA JANA…BENCHIKHA APONDA MASTAA SIMBA…”HATUNA WACHEZAJI HAPA…”

KISA KIPIGO CHA JANA…BENCHIKHA APONDA MASTAA SIMBA…”HATUNA WACHEZAJI HAPA…”

Habari za Simba

Kocha wa Klabu ya Simba, Abdelhak Benchikha, ameeleza kuwa kinachomgharimu ndani ya timu hiyo ni kukosa namba kubwa ya wachezaji wa daraja la juu.

Akizungumza baada ya kupoteza dhidi ya Al Ahly Benchikha amesema ubora ndio ulioamua matokeo katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Benjamini Mkapa.

“Unapopata nafasi zaidi ya sita kwenye box la mpinzani unahitaji wachezaji wenye uwezo wa kuzitumia nafasi hizo

“Mfano wenzetu Al Ahly wana Modeste, Kahraba, ambao wote hawa wanaweza kuzitumia nafasi hizo” amesema Benchikha baada ya mchezo.

Ameongeza kuwa ufinyu wa wachezaji wenye ubora kikosini unamgharimu ndio maana alipofanya mabadiliko bado hakupata kitu ambacho alikitamani tofauti na ikivyokuwa kwa wapinzani wake.

SOMA NA HII  NABI AAMUA KUKOMAA NA INONGA JUMLA JUMLA....SIMBA WASIPOKAZA JAMAA ATASEPA...

5 COMMENTS

  1. A great stone MR. Benchirka that is a reality. Huuu ndo ukweli, nakupata Sana mwamba. SIMBA Ni kubwa lakin wachezaji wa hazi wachache.

  2. Benchikha is a great coach in Africa but the club you teach is very poor because the leader of that club they are not determined

  3. Ni Ukweli mtupu.Simba inaonesha, Nahisi Viongozi ni matapeli wakati wa kutafuta Wachezaji.Wachezaji wengine wamechoka hapo

  4. Pamoja na kuwa Coach Benchikha amesema.ukweli, maneno hayo yanaweza yakawavunja moyo wachezaji wake kwenye mchezo wa marudiano. Ni kweli wachezaji wengi hawana hadhi ya timu kama Al Ahly lakini kwamba wameweza kufungwa goli moja tu na kuweza kumiliki mchezo kwa kuwango cha juu inaonesha kuwa walijitahidi mno na hii ndio ijuukichocheo cha kufanya vizuri kwenye mchezo wa marudiano. Historia ya mechi za hivi karihuni na timu hiyo ya Ahly inawabeba Simba. Going foward, Simba isibane matumizi kwenye usajili endapo wanataka kuendelea kuwa klabu kubwa Africa.