Home Habari za michezo PACOME ZOUZOUA AMFUNIKA CHAMA TAKWIMU ZA CAF….’DATA’ KAMILI HIZI HAPA…

PACOME ZOUZOUA AMFUNIKA CHAMA TAKWIMU ZA CAF….’DATA’ KAMILI HIZI HAPA…

Habari za Michezo leo

Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua raia wa Ivory Coast amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa hatua ya makundi CAF champions league 2023/24.

Pacome ambaye ameonesha kiwango kikubwa kwenye michuano hiyo msimu huu, amepata rating ya (7.99) akiwa kachaguliwa kuwa Man of the match kwenye michezo (2) kati ya michezo (6) kwenye group stage.

Anafuatiwa na Mostafa Shobeir wa Klabu ya Al-Ahly mwenye wastani wa (R – 7.93)

1 ◉ 7.99 — Pacome Zouzoua – Mshindi
2 ◉ 7.93 — Mostafa Shobeir
3 ◉ 7.74 — Sankara Karamoko
4 ◉ 7.73 — Ali Maaloul
5 ◉ 7.73 — Wonlo Coulibaly

Hawa ndio wachezaji walio perform vizuri zaidi kwenye mechi nyingi hatua ya group stage CAF-CL, rating zao zimejumlishwa na Pacome akaibuka kuwa kinara
Vinara wa magoli group stage CAF champions league 23/24.
1. ⚽ 4 assist 1 — Sankara Karamoko – Out
2. ⚽ 3 assist 2 — Pacome Zouzoua
3. ⚽ 3 assist 0 — Hussein El Shahat
4. ⚽ 3 assist 0 — Benguit – Out.

SOMA NA HII  WABABE WA SIMBA NA YANGA CAF KUJULIKANA KESHO....DROO KUCHEZESHWA KWA STAILI HII...