Home Habari za michezo UKIACHANA NA YANGA LEO….MERIDIANBET WANAKUPA MKWANJA KWA ODDS HIZI ZA CAF…

UKIACHANA NA YANGA LEO….MERIDIANBET WANAKUPA MKWANJA KWA ODDS HIZI ZA CAF…

Meridianbet

Ligi ya mabingwa barani Afrika kuendelea leo ambapo vilabu kadhaa vitashuka dimbani kujihakikishia nafasi za kufuzu michuano hiyo, Lakini kutafuta nafasi y kukaa kileleni mwa makundi yao michezo ambayo imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.

Michezo kadhaa itapigwa leo ikiwemo michezo ya kundi D ambapo linajumuisha vilabu vya Yanga kutoka Tanzania, Al Ahly, Fc Medeama kutoka nchini Ghana, na CFR Belouzdad kutoka nchini Algeria.

Kundi hili tayari limeshapa wawakilishi wa Robo fainali ya michuano hiyo kwani mchezo utakaopigwa nchini Algeria hautaathiri chochote katika msimamo wa kundi hilo, Huku mchezo utakaotupiwa macho ni ule utakaopigwa pale Cairo nchini Misri.

Mchezo utakaopigwa pale Cairo baina ya Al Ahly dhidi ya mabingwa wa Tanzania klabu ya Yanga ambapo mchezo huu ndo utatoa taswira ya nani atakwenda kuongoza kundi D, Kwani mpaka sasa Ahly wana alama 9 ambapo klabu ya Yanga wao wana alama 8.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Klabu ya Yanga wakifanikiwa kupata matokeo ya ushindi leo ugenini ni wazi watakua na alama 11 na kukwea kileleni mwa msimamo wa kundi hilo, Huku wakiwaacha Al Ahly wakibaki na alama zao 8 lakini wakati huo huo matokeo ya ushindi au sare kwa Al Ahly yatakua faida kwao kwani wataendelea kukaa kileleni mwa msimamo.

SOMA NA HII  SIMBA: PABLO NI ZAIDI YA GOMES ...SASA MATOLA APEWA UHURU TOFAUTI NA WAKATI WA GOMES...