Home Azam FC AzAM FC YAPATA PIGO KUBWA…MCHEZAJI HUYU KUONDOKA…KUSAJILI MASHINE HII MPYA

AzAM FC YAPATA PIGO KUBWA…MCHEZAJI HUYU KUONDOKA…KUSAJILI MASHINE HII MPYA

Habari za Simba leo

Klabu ya El Merrikh inampango wa kumrejesha Mlinda lango wake anayekipiga Kwa Mkopo wa nusu msimu ndani ya Klabu ya Azam, Mohammed Mustafa mwishoni mwa Msimu huu.

Wakati huo tayari Klabu ya Azam Imekamilisha mazungumzo na Mlinda lango wa klabu ya Tabora United raia wa Nigeria John Noble ambaye anatarajiwa kujiunga nao Msimu Ujao baada ya kumalizika kwa kandarasi yake na Tabora United kumalizika.

Noble anakaribia kusaini kandarasi ya Miaka Miwili. Hii ni baada ya Makubaliano ya pande zote mbili kufikiwa juu ya Mshahara na maslahi yake mengine.

SOMA NA HII  GAMONDI:- "KATIKA MAISHA USIJIAMINISHE SANA...BADO TUNA GEPU KUBWA...AMEFUNGUKA HAYA