Home Azam FC AZAM MATATANI KUPOTEZA SILAHA YAO HII…SINGIDA BS YAHUSISHWA…ISHU NZIMA IPO HIVI

AZAM MATATANI KUPOTEZA SILAHA YAO HII…SINGIDA BS YAHUSISHWA…ISHU NZIMA IPO HIVI

Habari za Simba leo

Klabu ya Singida Black Stars imefungua mazungumzo ya kumsajili mlinzi wa kulia wa Azam Nathaniel Chilambo.

Mkataba wake na Azam umebaki miezi mitatu tu.

Haitokuwa rahisi kwa Azam kubaki nae licha ya kwamba wapo
kwenye mpango wa kumuongezea mkataba mpya.

SOMA NA HII  KAMWE:- SIMBA INA UONGOZI MAKINI NA IMARA...TUTAINGIA CHAKA...AWAPIGIA SALUTI WACHEZAJI SIMBA