Home Habari za michezo “AZIZ KI AMTEKETEZA CHAMA” MCHAMBUZI…AMEFUNGUKA HAYA A-Z

“AZIZ KI AMTEKETEZA CHAMA” MCHAMBUZI…AMEFUNGUKA HAYA A-Z

Habari za Yanga leo

Mchambuzi wa masuala ya michezo nchini, Juma Ayo amesema bila Yanga kumsajili kiungo mshambuliaji, Stephanie Aziz Ki basi mpaka sasa Watanzania wangeamini kiungo bora ni Clatous Chama wa Simba.

Ayo amesema hayo kufuatia staa huyo raia wa Burkina Faso kuonesha kiwango bora ndani ya Yanga tangu ajiunge nao huku msimu huu akiwa kinara wa upachikaji mabao mpaka sasa akiwa amefunga mabao 15 na assis 7 kwenye Ligi Kuu.

“Tunamshukuru Mungu kwa Aziz Ki kuja kucheza Ligi kuu ya NBC, maana bila hivyo tungeendelea kudanganywa sana kuwa Chama ndio Namba 10 Bora kuwahi kutokea Tanzania,” amesema Juma Ayo.

SOMA NA HII  YANGA YAIPIGA KO SIMBA...WAMSAINISHA BEKI HUYU KISIKI...YANASUBIRIWA MAOKOTO TU