Home Meridianbet TUSUA NA MERIDIANBET MECHI ZA EURO LEO….ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…

TUSUA NA MERIDIANBET MECHI ZA EURO LEO….ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…

Meridianbet

EURO inazidi kunoga na Meridianbet endelea kusuka jamvi lako la ushindi hapa ujiweke kwenye nafasi ya kuwa bingwa leo hii. Leo kuna timu kibao za kukupa maokoto. Ingia www.meridianbet.co.tz.

Mechi kali leo hii ni Spain dhidi ya Italy huku timu hizi zikianza vyema mechi zao za kwanza. Hispania chini ya Luis de la Fuente walimtungua mtu bila kuruhusu bao lolote wakati Spalletti na vijana wake walifanya comeback ya kibabe kabisa.

Huku kushoto kuna Yamal, Morata, Rodri, Nacho, Carvajal, wakati kwa upande wakulia kuna Federico Chiesa, Jorginho, Barella, Scamacca na wengine kibao. Je ni upande upi unaupa pesa yako wakupe pesa zaidi?. Beti hapa.

Naye Slovenia baada ya kutoa sare mchezo wake uliopita, leo hii ataumana dhidi ya Serbia ambao wlaipoteza mchezo wa kwanza. Lakini Meridianbet wao wamempa nafasi kubwa ya kushinda Serbia kwa ODDS 1.75 kwa 4.90. Mara ya mwisho timu hizi kukutana, ilikuwa mwaka 2022 na walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka mbabe?. Beti mechi hii.

Michuano ya EURO inaendelea kushika hatamu, hivyo suka jamvi lako hapa na ODDDS KUBWA. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Ubabe utakuwa hapa kati ya England dhidi ya Denmark katika dimba la Deutsche Bank Park huku mechi ya mwisho kukutana ikiwa ni kwenye EURO 2020 na South Gate na vijana wake walishinda.

Uingereza anapendelewa zaidi kushinda mechi hii kwa kikosi bora ambacho anacho kama vile, Harry Kane, Foden, Jude Bellingham, Saka na wengine wengi, huku kwa upande wa Denmark wao wana wachezaji kama vile Hojberg, Christian Eriksen, Hojlund ambao wanahitaji ushindi leo. Je nani kushinda leo?. Jisajili sasa.

Hapo kesho kama kawaida mbungi litaendelea ambapo Slovakia baada ya kumpasua mtu atakiwasha dhidi ya Ukraine ambao wamechapika mchezo wao uliopita. Meridianbet wamempa nafasi ya ushindi UK kwa ODDS 2.11 kwa 3.57.

Je Ukraine baada ya kuanza vibaya michuano hii, kwenye huu mchezo wa pili wanaweza kufanya maajabu yoyote?. Tengeneza jamvi lako sasa na Meridianbet.

Wakati Poland yeye atakuwa kibaruani dhidi ya Austria huku timu zote zikiwa zimetoka kupoteza mechi zao za kwanza, hivyo hapa kila timu inataka ushindi wa hali na mali. Mechi hii imepewa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet. Takwimu zinaonyesha kuwa 2019 walipokutana hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Suka jamvi lako hapa.

Usiku wa saa nne sasa kutakuwa na moto wa hatari kati ya Netherland dhidi ya France ambao walipata ushindi mwembamba mechi yao ya kwanza, vilevile bado taarifa hazijatoka kama nahodha wao Kylian Mbappe atakuwepo au baada ya kuumia mechi iliyopita.

Hapa ni timu mbili ambazo zote zina wachezaji wazuri kwa Uholanzi kuna Memphis Depay, Gakpo, Xavi Simons, Dumfries, Ake na wengine wengi wakati kwa Les Blues wao wana Rabiot, Mbappe, Griezmann, Kante, Hernandez na wengine kibao. Meridianbet wanampa asilimia 1000 Ufaransa kushinda kwa ODDS 2.25 kwa 3.14. Wewe unampa nani?. Jisajili hapa.

SOMA NA HII  EXPANSE KASINO INATOA MAMILIONI! CHEZA SLOTI...