Home news SASA NI KAMA BUREE TU….PATA MPAKA 15,000 KILA UNAWEKA MKEKA WAKO NDANI...

SASA NI KAMA BUREE TU….PATA MPAKA 15,000 KILA UNAWEKA MKEKA WAKO NDANI YA MERIDINABET..

Meridianbet

Eeh Bwana eeh Meridianbet kwa kushirikiana na kampuni ya Selcom wamekuja na bonge la ofa kwa wewe mteja wa Meridian ambaye umekua ukibashiri na kucheza micheza ya kasino mitandaoni.

Ni Hivi unatakiwa kuweka kiasi cha shilingi 15,000 au zaidi kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Selcom na ukacheza michezo mbalimbali ya Kasino Mitandaoni ambapo unaweza kupata bonasi ya michezo yenye thamani ya shilingi 1500 au mizunguko 150 kwenye mchezo utakaoucheza.

Sharti ambalo litazingatiwa zaidi ni wewe kuweka pesa na Selcom ndio utakua umefuzu katika vigezo vya kupata bonasi hizo bomba ambazo zimeandaliwa na Meridianbet.

Ofa hii itawahusu zaidi wale ambao wanapenda kucheza michezo mbalimbali ya Kasino Mitandaoni kama Piggy Party, Aviator, Poker, Roulette na mingine kibao.

Promosheni hii imeanza mwezi Julai tarehe 1 ambayo inatarajiwa kwenda mpaka tarehe 15 mwezi ambapo ndio itakua mwisho wa ofa  hii.

Kitu pekee ambacho kitakupa nafasi ya kupata bonasi ya mizunguko 150 au kupewa shilingi 1500 ni kuhakikisha unaweka pesa na Selcom kwenye akaunti yako ya Meridianbet.

Vigezo na Masharti ya promosheni hii,

– Zingatia muda uliopangawa kama unataka kuwa mshindi ambapo mwisho ni tarehe 15 mwezi huu.

– Bonasi ya shilingi 1500 au mizunguko 150 ya bure itatolewa kila siku kesho yake saa saba mchana.

– Turbo cash na mfumo na tiketi za mfumo hazitastahili kupata bonasi.

– Kampeni hii itapatikana kwa wachezaji waliojisajili katika tovati ya Meridianbet au Aplikesheni yake.

–  Meridianbet ina haki ya kubadili sheria au kusitisha promosheni wakati wowote.

– Vigezo na masharti kuzingatiwa.

SOMA NA HII  BAADA YA KULIA HALI NGUMU..HATIMAYE BIASHARA WAOKOTA DODO JANGWANI...YASAIDI DILI LA MAMILIONI...