Home Habari za Yanga Leo GSM AMBADILIKIA MAGOMA…ANATAKA MIL 100

GSM AMBADILIKIA MAGOMA…ANATAKA MIL 100

HABARI ZA YANGA-MAGOMA

Mwanasheria Simon Patrick kwa niaba ya Mteja wake Ghalib Said Mohammed (GSM) wamemuandikia Demand Letter Notice Mwanachama wa Yanga Juma Ally Magoma wakitaka fidia ya Tsh Bilioni 100 kwa tuhuma za kumchafua na kumsemea kauli za uongo GSM.

Barua hiyo iliyoandikwa August 13 2024 imenukuu sehemu ya mahojiano ya Juma Magoma na S500 TV ikisema hivi “Baadhi ya Watu wake wanazungumza kabisa Serikali ya Mama Samia yeye kaishika mkononi”

Simon Patrick kwa niaba ya Mteja wake wamemtaka Mzee Magoma athibitishe kauli hiyo GSM aliitoa wapi? akishindwa kuthibitisha Mteja wake (GSM) ameomba mambo matatu yafanyike kulinda jina na heshima yake kwa jamii.

1- Mzee Magoma aombe radhi hadharani kwa madai ya kutoa kauli ambayo mteja wake hajawahi kuisema popote.

2- Amuandikie barua ya kumuomba radhi moja kwa moja GSM.

3- Kumlipa fidia ya TSH Bilioni 100 kwa tuhuma za kumchafua na kumchonganisha.

SOURCE: VERY CREDIBLE @Amri Kiemba

SOMA NA HII  SIMU ZIMEANZA KUITA KWA JUMA MGUNDA...AWEKA REKODI