Home Meridianbet MERIDIANBET INATOA ODDS KUBWA NA MACHAGUO MENGI LEO..

MERIDIANBET INATOA ODDS KUBWA NA MACHAGUO MENGI LEO..

Meridianbet

Je unajiuliza ni wapi unaweza ukabashiri mechi zako unazozitaka na machaguo zaidi ya 1000?. Mimi nakuibia siri moja nayo ni kwa mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Bashiri hapa sasa.

Ndugu mteja unaweza ukabashiri mechi za ligi kuu ya Ugiriki SUPER LEAGUE huku leo kukiwa na  mchezo mmoja ambapo Olympiacos Piraeus atamenyana dhidi ya Athens Kallithea majira ya saa 2:30 usiku huku mechi hii tayari ikiwa imeshawekwa ODDS KUBWA na machaguo kibao Meridianbet.

Olympiacos ndio chaguo kubwa kwenye ushindi wa leo akipewa 1.10 kwa 20.58 odds. Ingia Meridianbet na usuke jamvi sasa.

Shangilia ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet kwenye mechi za leo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

LALIGA leo hii kutakuwa na mechi ya kukata na shoka Villarreal baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atatunishana misuli dhidi ya Celta Vigo majira ya saa 4:30 usiku.

Villarreal ndio wanaopigiwa chapuo kushinda mchezo wa leo wakipewa ODDS 1.84 kwa 3.92. Mwenyeji alianza na sare mchezo wake wa kwanza huku mgeni wake akishinda unono mechi yake iliyopita. Je leo hii unaenda na nani akupe pesa?. Bashiri kijanja hapa.

Leo hii pale SERIE A kutakuwa na mechi mbili kali sana ambapo mchezo wa mapema utakuwa ni kati ya mwenyeji Cagliari Calcio dhidi ya Como 1907 ambao wamepanda daraja msimu huu. Mwenyeji ametoka kutoa sare mchezo wake wa kwanza huku mgeni yeye akipigika vibaya sana.

Meridianbet mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania wamempa nafasi kubwa ya kushinda Cagliari kwa odds 2.30 kwa 3.14 kwa mgeni. Je wewe beti yao unaiweka wapi kwenye hizi timu mbili?.Tandika jamvi hapa.

Mechi nyingine leo hii itakuwa pale usiku wa 3:45 ambapo Juventus atakuwa mgeni wa Hellas Verona. Ikumbukwe kuwa timu hizi zote mbili zimetoka kushinda mechi zao za kwanza kwenye ligi. Juve wana kocha mpya ambaye ni Thiago Motta.

Mechi ya mwisho kukutana ilikuwa ni msimu uliopita ambapo walitoka sare huku leo hii sasa Bibi Kizee akipendelewa kuondoka na pointi 3 ugenini kwa ODDS 1.76 kwa 4.80. Je nani kuondoka kifua mbele?. Jisajili hapa.

SOMA NA HII  SUKA JAMVI LAKO NA MERIDIANBET LEO....