Home Meridianbet NI MANCHESTER DERBY YA MAOKOTO …..

NI MANCHESTER DERBY YA MAOKOTO …..

Meridianbet

Mchezo wa Ngao ya hisani utakwenda kupigwa leo pale kwenye dimba la Wembley jijini London utawakutanisha majirani wawili ambao ni Manchester United dhidi ya Manchester City, Mchezo ambao utakua ni wa kisasi haswa kwa upande wa Man City.

Ngao ya hisani mara nyingi huwakutanisha mabingwa wa kombe la ligi kuu ya Uingereza dhidi ya mabingwa wa kombe la Fa, Ambapo msimu jana Man City walifanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza huku Man United wakitwaa taji la Fa.

Mchezo huu unatafsiriwa kama mchezo wa kisasi kwasababu Manchester City walipoteza mchezo wa mwisho wa fainali ya kombe la Fa mbele ya Man United, Hivo vijana hao wa kocha Pep Guardiola watahitaji kulipiza kisasi leo dhidi ya mahasimu wao.

Bashiri michezo mbalimbali ambayo imepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet wikiendi hii Bila kusahau kucheza michezo ya Kasino uibuke mshinde wa Mamilioni

Manchester Derby leo imefanikiwa kupewa Odds nzuri pale Meridianbet kwani Man United wamepewa Odds bomba halikadhalika Man City, Hii inakupa fursa wewe mteja wa kushinda maokoto ukiweka jamvi lako kupitia mchezo huu.

Ikumbukwe mchezo wa mwisho wa Ngao ya hisani vilabu hivo vilipokutana ilikua mwaka 2011, Ambapo Man United ilifanikiwa kushinda kwa mabao matatu kwa moja hivo swali kubwa ni je City watakubali kuendeleza uteja mbele ya Man United?

SOMA NA HII  EXPANSE TOURNAMENT MERIDIANBET KASINO, NAFASI NI YAKO KUSHINDA MAMILIONI....