Home Habari za Yanga Leo MECHI YA YANGA NA CBE KUPIGWA ABEBE BIKILA

MECHI YA YANGA NA CBE KUPIGWA ABEBE BIKILA

habari zayanga-CBE FC

Mchezo wa hatua ya pili na ya Mwisho ya Mtoano Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Comercial Bank of Ethiopia (CBE FC) dhidi ya Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga utachezwa katika Uwanja wa ABEBE BIKILA unaopatikana katika Mji Mkuu wa Taifa hilo Addis Ababa.

Uwanja huo una uwezo wa kuingiza Mashabiki 25,000 pekee na ni moja ya viwanja vyenye eneo bora la kuchezea na muonekano wa kisasa zaidi ndani ya Taifa hilo.

Uwanja huu ndio ulihodhi fainali ya CECAFA Women Champions Mwaka huu ambapo Timu ya Wanawake ya CBE FC ndio ilitwaa Ubingwa huo Mbele ya Miamba mingine ya soka la wanawake Afrika Mashariki kama Simba Queens ya Tanzania na Police FC ya Kenya.

SOMA NA HII  SI MLISEMA WAZEE…KAZI IMEANZA YANGA

1 COMMENT

  1. … [Trackback]

    […] There you will find 53603 more Infos: sokalabongo.com/2024/09/mechi-ya-yanga-na-cbe-kupigwa-abebe-bikila.html […]

Comments are closed.