Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

YACOUBA SOGNE…BADO ANAUJUA SANA MPIRA

0
Wakati anapata jeraha kubwa la goti (ACL) na kukaa nje kwa miezi 9, wengi walitafasiri ni mwisho wa Yacouba. Si hivyo tu, ikatokea anaachwa...

HATIMAYE MTASINGWA AJIBU KUHUSISHWAA NA YANGA

0
KIUNGO wa Azam FC Adolf Mtasingwa, amejibu ule uvumi wa taarifa za yeye kujiunga na Yanga katika dirisha kubwa la usajili. "MUDA ndio muamuzi wa...

AL AHLI WAINGIA UOGA…WAKODI ULINZI MZITO

0
KATIKA hali isiyo ya kawaida, wapinzani wa Simba, Al Ahli Tripoli wamekodi walinzi binafsi  ‘bodyguards’ kwa ajili ya kuwalinda wachezaji pamoja na benchi la...

GAMONDI AYAONA MABAO MENGI ZANZIBAR

0
YANGA imeondok leo majira ya saa 3:00 asubuhi kelekea Zanzibar tayari kwa mchezo wa marudiano wa raundio ya pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika...

BREAKING NEWS…FEI TOTO AIKATAA AZAM…AZIINGIZA VITANI SIMBA NA YANGA

0
Kiungo wa kimataifa wa Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei Toto) amepiga chini ofa ya pili kutoka Azam ambayo ilimtaka kuongeza mkataba mpya. Kwa sasa Fei...

KUMNUNUA FEI TOTO NI BIL 1.3…SIMBA, YANGA ZAPIGANA VIKUMBO

1
SIKU za hivi karibuni kumeibuka taarifa za mchezaji wa Azam FC Feisal Salum Fei Toto, kuhitajika na vilabu vikubwa ndani na nje ya nchi...

MKUDE AKANA KUMROGA AUCHO KISA NAMBA

0
KIUNGO wa Yanga Jonas Mkude maarufu kama Nungunungu amefunguka na kusema kwamba, yeye kama mchezaji hajawahi kumroga mchezaji mwenzake Mganda Khaled Aucho. Mkude aliyesajiliwa na...

KUNA SUPRAIZI ZANZIBAR…YANGA IKIWAKARIBISHA CBE

0
Licha ya Yanga wikiendi iliyopita kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya CBE katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika,...

FADLU AMTAJA ATEBA KUHUSIKA KUWAMALIZA WAARABU JPILI

1
Simba imewashtukia Waarabu kutokana na kuizuia kupata bao lolote, kisha wenyewe kuzipiga uwanjani na kocha wa Wekundu hao, Fadlu Davids akasisitiza anataka ushindi wa...

MAREFA WA SIMBA NA YANGA KIMATAIFA NI HAWA

0
Marefa kutoka Guinea na Mauritania ndio wamepangwa kuchezesha mechi za nyumbani za wawakilishi wa Tanzania, Simba na Yanga katika mechi zao za marudiano za...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS