Abubakar
SIMBA YAAMBULIA MEDALI…YANGA YASHINDWA KUTWAA NDOO
Timu ya wanawake ya Simba SC, Simba Queens imefanikiwa kushinda nafasi ya tatu baada kuichakaza bila huruma magoli manne bila majibu timu ya CEASIAA...
YANGA YAPORWA KOMBE UWANJANI…JKT QUEENS WABABE
Timu ya wanawake JKT Queens imeibuka bingwa wa Mashindano ya Ngao ya Jamii baada kuifunga Yanga Princes goli moja bila majibu.
Vuta nikuvute katika mchezo...
SI MLISEMA WAZEE…KAZI IMEANZA YANGA
MABINGWA watetezi wa Ligi kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC hii leo imeibuka na ushindi mnono wa bao 4-0, ikiwa ni mara ya...
SIMBA BAADA YA USAJILI WAITAKA ROBO FAINALI
AHMED Ally Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba amesema kuwa, timu hiyo imesajili vizuri zaidi msimu huu hivyo malengo yao ya kutinga hatua ya...
PAUL MKAI ACHAGUA KUANZA NA CHASAMBI MBELE YA MUTALE.
Mtangazaji na mwandishi wa habari za michezo nchini, Paul Mkai amesema kwamba ukiwaweka wachezaji wawili wa Simba Joshua Mutale na Ladack Juma Chasambi, basi...
SIFA ZA MCHEZAJI MPYA WA SIMBA ELLIE MPANZU
Nilishuhudia mechi chache za AS Vita msimu uliopita akiwepo Elie Mpanzu, sio sababu yoyote kwanini asiwe tatizo / hatari kwa wapinzani katika michuano ya...
BAADA YA MPANZU… ANAYEFUATIA SIMBA NI FEI TOTO
Mnyama Simba Sports Club, Feisal Salum 'FEITOTO' ndiye mchezaji ambae yupo kwenye Target yao, mahitaji yao ni kumpata dirisha dogo la usajili la usajili...
HUYU HAMZA ANAIFANYA SIMBA IFAIDIKE KWA MTINDO HUU.
Sifa ya kwanza ya kumwita mchezaji timu ya Taifa ni kiwango bora ambacho anakuwa amekionyesha. Fomu ya Abdulrazack Hamza anastahili kuitwa timu ya Taifa.!
Kwa...
AWESU AFICHUA ALICHOAMBIWA NA FADLU…SIMBA IKIPATA USHINDI MGUMU.
KIUNGO wa Simba, Awesu Awesu amefunguka siri ya ushindi wa timu yake dhidi ya Dodoma Jiji kuwa ni kufanyia kazi maagizo aliyopewa na kocha...
ALIYENYIMWA TUZO AZUNGUMZIA BAO LA BOKA
BEKI wa kulia wa KMC, Abdallah Said ‘T Lanso' ameeleza ugumu wa kumkaba mlinzi wa Yanga, Chadrack Boka kwamba inahitaji kutumia akili na umakini...