Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

KESI YA KOCHA WA SIMBA UPELELEZI BADO SANA

0
UPANDE wa mashtaka katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin inayomkabili aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Muharami Sultan (40) na...

AISHI MANULA ANATAKIWA AFANYE HIVI SIMBA

0
Aishi Manula! Ni miongoni mwa wanadamu wanaoishi hewani kwa sasa. Anaelea kama puto. Mara zote puto huwa linaelekea hewani bila ya mwelekeo. Ndivyo anavyoishi...

CHE MALONE ATUMA SALAM…NI MUDA WA KUFANYA VIZURI

0
Beki wa Simba Che Fondoh Malone ambaye alichaguliwa kuwa mchezaji bora kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tabora United ameweka wazi kuwa...

YANGA KUIKABILI VITA’O NA TAHADHARI HII

0
KLABU ya Yanga imeweka wazi kuwa utawakabili wapinzani wao Vital’O Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa tahadhari...

MUKWALA NA FREDY WALIVYOZINGUA SIMBA

0
KLABU ya Simba imesajili washambuliaji watatu hadi sasa, mzawa Valentino Mashaka na Steven Mukwala raia wa Uganda, wameingia kikosini hapo kuongeza nguvu eneo la...

FADLU DAVIDS AANZA NA VIHUNZI HIVI

0
Simba SC imempa jukumu Kocha Fadlu Davids kuiongoza timu hiyo msimu huu wa 2024-2025 katika mashindano mbalimbali wanayoshiriki yakiwamo Ligi Kuu Bara na Kombe...

BREAKING NEWS…LAMECK LAWI ARUDI NCHINI…AJIFICHA HOTELINI

0
BAADA ya usajili wake kuzua balaa na mgogoro mkubwa sana kati ya Simba na Coastal Union, baadae Kijana akaenda zake Ulaya kujaribu bahati yake...

GAMONDI AMTAJA CHAMA…ANA KAZI NAE

0
KOCHA MIGUEL Gamondi amesifu kiwango kilichoonyeshwa na kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Clatous Chama aliyeanza katika kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza tangu...

AWESU AWESU NA MASHAKA BALAA JINGINE SIMBA

0
MABAO mawili ya wachezaji wapya, Valentino Mashaka na Awesu Awesu, pamoja na lingine lililofungwa na Fondoh Che Malone, yaliiwezesha Simba jana kupata ushindi wa...

GAMONDI…HATURIDHIKI NA MATOKEO MADOGO…

0
Yanga ilipata ushindi MNONO wa mabao 0-4 kwenye Uwanja wa Azam Complex, ambao Vital’O iliutumia kama wa nyumbani, ikishuhudiwa Prince Dube, Clatous Chama, Clement...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS