Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA BAADA YA USAJILI WAITAKA ROBO FAINALI

0
AHMED Ally Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba amesema kuwa, timu hiyo imesajili vizuri zaidi msimu huu hivyo malengo yao ya kutinga hatua ya...

PAUL MKAI ACHAGUA KUANZA NA CHASAMBI MBELE YA MUTALE.

0
Mtangazaji na mwandishi wa habari za michezo nchini, Paul Mkai amesema kwamba ukiwaweka wachezaji wawili wa Simba Joshua Mutale na Ladack Juma Chasambi, basi...

SIFA ZA MCHEZAJI MPYA WA SIMBA ELLIE MPANZU

0
Nilishuhudia mechi chache za AS Vita msimu uliopita akiwepo Elie Mpanzu, sio sababu yoyote kwanini asiwe tatizo / hatari kwa wapinzani katika michuano ya...

BAADA YA MPANZU… ANAYEFUATIA SIMBA NI FEI TOTO

1
Mnyama Simba Sports Club, Feisal Salum 'FEITOTO' ndiye mchezaji ambae yupo kwenye Target yao, mahitaji yao ni kumpata dirisha dogo la usajili la usajili...

HUYU HAMZA ANAIFANYA SIMBA IFAIDIKE KWA MTINDO HUU.

0
Sifa ya kwanza ya kumwita mchezaji timu ya Taifa ni kiwango bora ambacho anakuwa amekionyesha. Fomu ya Abdulrazack Hamza anastahili kuitwa timu ya Taifa.! Kwa...

AWESU AFICHUA ALICHOAMBIWA NA FADLU…SIMBA IKIPATA USHINDI MGUMU.

0
KIUNGO wa Simba, Awesu Awesu amefunguka siri ya ushindi wa timu yake dhidi ya Dodoma Jiji kuwa ni kufanyia kazi maagizo aliyopewa na kocha...

ALIYENYIMWA TUZO AZUNGUMZIA BAO LA BOKA

0
BEKI wa kulia wa KMC, Abdallah Said ‘T Lanso' ameeleza ugumu wa kumkaba mlinzi wa Yanga, Chadrack Boka kwamba inahitaji kutumia akili na umakini...

AHMED ALLY AMJIA JUU ALI KAMWE…ACHENI KULALAMIKA

0
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba Ahmed Ally ameshangazwa na kauli ya Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe, kuhusu mafanikio ya...

ALIYEKUWA KOCHA YANGA… AJIPATA NAMUNGO

0
Baada ya Namungo kupata ushindi wa bao 1-0 juzi dhidi ya Tanzania Prisons, kocha mkuu wa timu hiyo Mkongomani aliyewahi kukinoa kikosi cha Yanga,...

AWESU AZIDI KUFANYA MABALAA…ASHAURIWA VYA KUONGEZA

1
Kuna burudani fulani huwa inatokea Kiungo wa Boli Kapteni Kucho Awesu Awesu akiwa na mpira mguuni. Awesu Ali Awesu huwa analainisha sana mambo, simple tu...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS