Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

RAIS SAMIA AWASHAUI SIMBA HAYA…TUGANGE YAJAYO…

0
RAIS wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba kwa kufanikisha kuandaa tamasha la Simba Day, Jana Agosti 3. Tamasha hilo  ni la...

SIMBA YAFANANISHWA NA BARCA YA XAVI & INIESTA WENGINE R.MADRID

0
MASHABIKI wa Simba, akiwemo mdau mkubwa wa timu hiyo Mohammed Soloka amesema mwitikio mkubwa wa mashabiki wa timu hiyo kujaza Uwanja wa Mkapa ni...

MANULA, ONANA WAPEWA THANK YOU SIMBA.

0
ALIYEKUWA kipa namba moja wa Simba, Ashi Manula ametemwa kwenye kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao wa 2024/25 baada ya timu hiyo kutambulisha...

SIMBA YAMUAGA KAJULA…REGIS FRANCOIS ATAMBULISHWA

0
ALIYEKUWA CEO wa Simba, Imani Kajula ameagwa rasmi jana kwenye kilele cha tamasha la Simba Day linalofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kajula alijiunga na Simba...

AZIZ KI ATOA NENO KABLA YA KILELE CHA WANANCHI

0
BAADA ya kutwaa tuzo nne za msimu uliopita, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki amesema anajisikia kubarikiwa huku akimtaja kocha wa timu hiyo,...

WASHINDI WOTE WA TUZO ZA TFF 2023/24

0
Usiku wa Tuzo za TFF ulikuwa ni Agosti Mosi, na wachezaji na wadau wengi wa soka walishinda tuzo zao, miongoni mwa wachezaji hao ambao...

AUCHO AWAGAWANA VIONGOZI…TFF WASHINDWA KUELEWA.

0
KITENDO cha jina la kiungo wa Yanga, Khalid Aucho kutokuwa kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa katika kikosi bora cha msimu uliopita wa 2023/24 kimewaibua...

AHMED ALLY ATHIBITISHA KIBU DKURUDI SIMBA…ATATAMBULISHWA KESHO

0
Meneja wa Habari na Mawasiliano Simba SC, Ahmedy Ally amethibitisha kuwa Kibu Denis amerejea kikosini na amezungumza na kumalizana na Kocha Fadlu Davids, hivyo...

STRAIKA LA MABAO LATAROKA SIMBA…SIKU 1 KUELEKEA SIMBA DAY

0
WAKATI Simba Queens ikiwa kambini Bunju jijini Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya Klabu Bingwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (CECAFA)...

SPIDER MAN ATAMBULISHWA SIMBA…LAKRED THANK YOU

0
MNYAMA Simba imemtambulisha Mlinda malngo wa mpya, Moussa Pinpin Camara 'Spider' kwa mkataba wa miaka miwili akitokea AC Horoya ya Guinea. Moussa Camara ni maarufu...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS