Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

YANGA YAFANYA BALAA…6 SIMBA MMOJA TU

0
YANGA BABA LAO. HATIMAYE usiku wa tuzo za Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 umegota mwisho na kila kitu kuwa wazi nani amekuwa...

MO DEWJI APANGA SAFU MPYA YA MASHINDANO SIMBA

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji β€˜Mo’ ameteua Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo ambayo itakuwa na wajumbe...

AZIZ KI KINARA WA TUZO…BALAA LAKE USIPIME

0
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Sc, Stephanie Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora (MVP) wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2023/24. Aziz...

IBRAHIM BACCA ATWAA TUZO YA BEKI BORA.

0
Beki wa katiΒ  wa Yanga SC na Timu ya taifa ya Tanzania, Ibrahim Bacca ameshinda tuzo ya beki Bora wa Ligi Kuu ya NBC...

MALIJENDI WAMPA MINU MUTALE…BWALYA NA DAANY MRWANDA WAHUSIKA

0
Straika wa zamani wa Simba SC, Athuman Machupa amesema ili Joshua Mutale ajijengee ufalme ndani ya klabu hiyo, kiwango chake kiwe na mchango mkubwa...

DJIGUI DIARRA ATWAA TUZO KIPA BORA

0
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga Sc, Djigui Diarra ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Michuano ya FA (CRDB FEDERATION CUP). Diarra amewashinda Khomein Abubakar...

SKUDU AJIPATA YANGA YA GAMONDI

0
Winga wa Yanga kutoka Afrika Kusini, Mahlatse Makudubela β€˜Skudu’, amesema amegundua mbinu mpya ya kupata muda zaidi wa kucheza kikosini. β€œKwa ushindani uliopo nimegundua kuwa...

STEPHEN AZIZ KI TAYARI ANA TUZO MKONONI

0
STEPHEN Aziz Ki katika msimu wa 2023/24 alifunga jumla ya mabao 21 katika Ligi Kuu Bara ndani ya uwanja akiwa na tuzo yake mkononi...

KWA MPANZU SIMBA HALAUMIWI.

0
KLABU YA SIMBA ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari wa AS Vita, Elie Mpanzu lakini kuna wakati jitihada huwa hazizai matunda na ndicho...

KILICHOMKOSESHA AUCHO TUZO…UGOMVI WATAJWA

0
Shirikisho la soka Tanzania TFF limetoa orodha ya wanaowania tuzo za msimu wa 2023/24, zitakazotolewa Usiku wa Leo Agosti Mosi kwenye ukumbi wa The...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS