Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

LUIS MIQUISSONE APEWA THANK YOU SIMBA…

0
UONGOZI wa Simba umefikia hatua ya kutangaza kuachana na nyota wake Luis Miquissone baada ya kushindwa kukubaliana suala la kumuongeza Mkataba. Miquissone alikuwa na mkataba...

SAFISHA INAENDELEA SIMBA…CHILUNDA AKUTANA NA FAGIO LA CHUMA

0
KATIKA kuendelea kufanya maboresho ya kikosi cha timu hiyo, uongozi wa Simba umetangaza kuachana na mshambuliaji wake mzawa  Shaban Chilunda baada ya mkataba wake...

HATMA YA MASTAA 3 YANGA KUJULIKANA…YUMO SKUDU

0
HATMA ya mastaa watatu wa kigeni Yanga, kujulikana Julai Mosi mwaka huu wakati uongozi wa timu hiyo kutangaza rasmi siku hiyo ni maalum ya...

YANGA HAOO KWA MADIBA…PRE SEASON YA KIBABE

0
KIKOSI cha Yanga, kinatarajia kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya kuweka kambi nchini huko tayari kwa msimu mpya wa mashindano. Yanga imekubali ombi la klabu...

KIMEELEWEKA HUKO…MRITHI WA BENCHIKA SIMBA AMEPATIKANA

0
BAADA ya kupitia wasifu wa makocha mbalimbali, uongozi wa Simba umejiridhisha na uwezo wa Steve Komphela , raia wa Afrika kusini kuja kurithi mikoba...

USAJILI WA KAPUMBU SIMBA…AHEMD ALLY ATOA KAULI

0
KLABU ya Simba imekamilisha dili la kiungo wa Zesco United ya Zambia,  Kelvin Kapumbu kutua ndani ya kikosi cha wekundu wa Msimbazi hao kwa...

WATU WANAISUBIRi THANK YOU YA PA OMAR JOBE SIMBA…LEO WANAACHWA WAWILI.

0
ANAYEKUFUKUZA hawezi  kukwambia Ondoka. Ndiyo msemo unaoweza kuutumia kwa mshambuliaji wa Simba, Pa Omar Jobe, ambaye mashabiki wa klabu hiyo wameonyesha kiu kubwa ya...

ANTHONY TRA BI TRA AWINDWA NA SIMBA…NI BEKI WA KATI

0
Simba SC ipo kwenye mazungumzo na beki wa kati wa ASEC Mimosas, Antony Tra Bi Tra (25) ili kuziba pengo la Henock Inonga anayetajwa...

IBENGE AINGILIA DILI LA SIMBA…SERGE POKOU HUYOO AL HILAL

0
KLABU ya Al Hilal ya Sudan imeingilia kati dili la kiungo Serge Pokou wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast ambaye pia amekuwa akiwindwa na...

YANGA YAMPATA MRITHI WA METACHA & MSHERY, ABUBAKAR KHOMEINY

0
MLINDA Mlango wa klabu ya Ihefu Abubakar Khomeiny amesajili na klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akiwa ni mrithi wa nyanda AbdulTwalib...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS