admin
YANGA YAPENYA 16 BORA MBELE YA TANZANIA PRISONS
UWANJA wa Nelson Mandela umeshuhudia kikosi cha Yanga kikisepa na ushindi kwa mara ya kwanza mbele ya Tanzania Prisons.Mchezo wa leo ulikuwa ni wa...
BREAKING: WAPINZANI WA SIMBA ROBO FAINALI NI KAIZER CHIEFS
DROO ya hatua ya robo fainali imepangwa leo Aprili 30 nchini Misri ambapo tayari wawakilishi wa Tanzania, Simba wametambua watakutana na timu ipi.Ni Kazier...
HAWA HAPA SITA WA YANGA KUIKOSA TANZANIA PRISONS LEO
IKIWA leo Yanga inamenyana na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora Kombe la Shirikisho ni rasmi itawakosa nyota wake sita kutokana...
KOMBE LA SHIRIKISHO: TANZANIA PRISONS 0-0 YANGA
UWANJA wa Nelson Mandela Kombe la Shirikisho Tanzania Prisons 0-0 YangaZinaongezwa dakika 2Dakika ya 45 Carinhos anapiga faulo inaokolewa na PrisonsDakika ya 43, Lamine anaanza na...
SIMBA SC WAPEWA KAIZER CHIEFS ROBO FAINALI CAF
KLABU ya Simba imepangwa kucheza na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini katika hatua ya robo fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika katika ratiba iliyopangwa...
KMC TAYARI KWA MCHEZO WA KESHO, KOMBE LA SHIRIKISHO
KIKOSI cha KMC FC kesho Mei Mosi kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wa michuano ya Kombe la Shirikisho...
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA TANZANIA PRISONS,
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Nelson Mandela hatua ya 16 bora Kombe la Shirikisho.
NYOTA WENGINE SIMBA AMBAO MIKATABA YAO INAKARABIA KUMEGUKA ORODHA HII HAPA
IKIWA tayari imeshamalizana na nyota wake watatu ambao ni nahodha John Bocco, nahodha msaidizi Mohamed Hussein,'Tshabalala' na beki wa pembeni Shomari Kapombe bado nyota...
YANGA NA JUMA MWAMBUSI KUHUSU KUREJEA KWAKE WAMEFIKIA HAPA
KWA kauli ya kiungwana aliyoitoa ya Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa sasa ni wazi kuwa aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi atakuwa rasmi ameachana na klabu hiyo tangu...
MESSI KUSEPA BARCELONA, PSG WAWEKA OFA
KLABU ya Paris Saint Germain imeelezwa kwa sasa ipo kumshawishi staa wa Barcelona, Lionel Messi kujiunga na klabu hiyo, kumpa ofa ya miaka miwili. Messi kwa sasa anaweza kuongea na timu yoyote kwani mkataba wake umesalia wa mwezi...