admin
NEYMAR JR AZUNGUMZIA HATMA YAKE PSG,LEO KAZINI LIGI YA MABINGWA
KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya PSG, Neymar amesema kwasasa anafanya mazungumzo na klabu yake hiyo na kusisitiza kuwa anajisikia vizuri na mwenye furaha tele. Neymar...
VIDEO: MWALIMU KASHASHA AYACHAMBUA MABAO YA SIMBA 3-1 DODOMA JIJI
MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo, Mwalimu Kashasha ameyachambua mabao ya mchezo wa Simba 3-1 Dodoma Jiji, Uwanja wa Mkapa na kuyapa majina namna...
TANZANIA PRISONS: TUNAICHAPA YANGA NA KOMBE TUNACHUKUA
KOCHA msaidizi wa Tanzania Prisons, Shabani Kazumba amesema wataifunga Yanga na kwenda kuchukua ubingwa wa Kombe la Shirikisho ‘ASFC’ ili wawakilishe nchi kimataifa. Kazumba maarufu...
BREAKING: SIMBA YAMALIZANA NA MTAMBO HUU WA MABAO
MTAMBO wa mabao ndani ya Simba ambaye pia ni nahodha, John Bocco naye ameongezewa mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.Bocco ambaye ni mzawa wa...
BOCCO NAYE AONGEZA MIAKA MIWILI YA KUSALIA MSIMBAZI
Nahodha John Bocco amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia katika timu yetu utakaomuweka hadi mwaka 2023.Mkataba wa Bocco ulikuwa unamalizika mwishoni mwa...
MOHAMMED HUSSEIN AONGEZA MIAKA MIWILI SIMBA
Baada ya maneno mengi yaliyozua mjadala katika mitandao ya kijamii, hatimaye Nahodha Msaidizi Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amemaliza utata baada ya kusaini mkataba wa...
MIQUISSONE AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA
Kiungo mshambuliaji, Luis Miquissone amekabidhiwa tuzo yake ya mchezaji bora wa Ligi Kuu wa mwezi Machi.Tuzo hiyo alikakabidhiwa jana Jumanne Aprili 27 kabla ya...
KUMBE! ONYANGO HAJUI KUHUSU KUHITAJIKA NA TIMU YA AFRIKA KUSINI
BEKI wa kati wa klabu ya Simba, raia wa Kenya, Joash Onyango amesema kwa sasa bado hajapata taarifa yeyote kuhusu yeye kuhitajika na Klabu ya...
NIYONZIMA: NITAPAMBANA KURUDI KIKOSI CHA KWANZA
NAHODHA Msaidizi wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesema kuwa atapambana ili kupata nafasi kwenye kikosi cha kocha mpya wa Yanga, Nasreddine Nabi.Niyonzima kabla ya kuondoka kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze alikuwa...
BENZEMA AFIKISHA MABAO 71 UEFA, ZIDANE MATUMAINI KIBAO
ZINEDINE Zidane, Kocha Mkuu wa Real Madrid amesema kuwa kwa kuwa bado wanaishi wana imani watakwenda kupata matokeo chanya kwenye nusu fainali ya pili...