admin
MUANGOLA WA YANGA AKIRI MAMBO YALIKUWA MAGUMU KWAKE
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos, raia wa Angola, amekiri kuwa mwaka 2020 ulikuwa mzuri lakini hakuweza kufanya chochote kutokana na kuandamwa na wimbi...
WALIOMCHIMBISHA SIMBA MKUDE JONAS HAWA HAPA,MECHI 10 NJE
IMEFAHAMIKA kuwa wachezaji wa Simba ndiyo waliomuondoa kikosini Jonas Mkude sambamba na kusimamishwa kazi kutokana na utovu wake wa nidhamu. Hiyo ikiwa ni siku chache...
YANGA BADO INAHESABU ZA KUTWAA UBINGWA WA LIGI
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kazi ya kusaka ubingwa kwa msimu wa 2020/21 ipo palepale licha ya kumaliza kwa kupata sare ya kufungana...
SIMBA YAWAPIGA MKWARA MZITO WAZIMBABWE
UONGOZI wa Simba umesema kuwa wapinzani wao FC Platinum itakuwa ngumu kutoka kwenye mchezo wa marudio unaotarajiwa kuchezwa Januari 6, Uwanja wa Mkapa.Simba chini...
TAULO LA JUMA KASEJA LAZUA ‘TIMBWILI’ MBEYA
KIPA namba moja wa Klabu ya KMC, mkongwe Juma Kaseja aliingia kwenye mzozo na shabiki mmoja anayedhaniwa kuwa ni wa Klabu ya Mbeya City. Shabiki...
NYOTA YANGA AGOMBANIWA NA TIMU ZA LIGI KUU BARA ZIKITAKA SAINI...
NYOTA wa Klabu ya Yanga, Wazir Junior yupo kwenye hesabu za kutolewa kwa mkopo ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze kutokana...
ARSENAL YATEMBEZA 4G, LACAZETTE NI NAMBA MOJA
ALEXANDRE Lacazette nyota wa Arsenal ni namba moja kwa utupiaji ndani ya kikosi hicho baada ya kufikisha jumla ya mabao 7 katika mechi 14...
JEMBE JIPYA AZAM FC LAPANIA KUTUPIA MABAO ZAIDI YA 15
MPIANZA Monzinzi ingizo jipya ndani ya Klabu ya Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina amesema kuwa hesabu zake ni kufunga mabao mengi...
SPURS WAENDELEZA MAKALI,KANE NA SON NI HABARI NYINGINE
HARRY Kane nyota wa Klabu ya Tottenham Spurs inayonolewa na Kocha Mkuu, Jose Mourinho amesema kuwa maisha yao ndani ya timu hiyo ni ya...
POCHETTINO ACHEKELEA KUPATA KAZI
MAURICIO Pochettino, aliyekuwa kocha wa zamani wa Klabu ya Tottenham, Southampton na Espanyol amesaini dili la mwaka mmoja kuinoa Klabu ya PSG.Mkataba wake ambao...